Numbers 18:16

16 aWatakapokuwa na umri wa mwezi mmoja, ni lazima mtawakomboa kwa bei ya ukombozi iliyowekwa, kwa shekeli tano
Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55.
za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, yenye uzito wa gera ishirini.
Gera 20 ni sawa na gramu 55.

Copyright information for SwhKC